Jumamosi, 9 Agosti 2014

                                   KILL MUSIC TUA KIKWETUKWETU MBEYA





                            hili ndilo BASI lililowabeba wanaKill Music Tua2014 mbeya




                     huu ndo ukumbi utakaotumika leo ndani ya mbeya



                               hapa weusiiiiiiiiiii........prof j......kikwetukwetu

Ijumaa, 8 Agosti 2014


           MAAJBU YA NANE NANE MBEYA NDANI YA VIWANJA VYA MWAKANGALE


   
                                  Ndizi Katika Muonekano Mpya

  Chezea Nane Nane Wewe....hahahhahhahaaaaaaa.......sio tu Kombe La Dunia ndo kuna Maajabu...njo Nane Nane kwenye Viwanja Vya Mwakangale..

Israel yaanza mashambulizi upya Gaza





Majeshi ya Israel imeanza tena upya operesheni yake ya mashambuzi katika eneo la Gaza baada ya kumalizika kwa saa 7 za kusitisha mapigano lililotolewa na na Israel kwa ajili ya huduma za kibinadamu katika baadhi ya mipaka ya Israel.
Waziri Mkuu wa Palestina Benjamini Netanyau amesema operesheni hiyo itaendelea hadi hapo hali ya usalama na utulivu utakaporejea nchini Israel.
Japokuwa kumekuwa na kupungua kwa kiwango cha mashambulizi nyakati za mchana, Wapalestina wameilaumu Israel kwa kuikuka walichokipanga wenyewe cha usitishaji wa mapingano na badala yake ikashambulia kwa bomu kambi ya wakimbizi katika eneo la kaskazini mwa Gaza na kuua mwanamke mmoja na mtoto wa miaka nane.
Israel imesema kwamba wapiganaji wa kiislamu wameendeleza upigaji wa mabumu katika ardhi ya Israel.
Katika mji wa Jerusalemu, Israel mwisreel mmoja aliuawa wakati trekta ya kuchimba mchanga ilipogonga basi jambo ambalo Israel imesma ni shambulio la kigaidi.



                                    Haya ni baadhi ya maeneo ya GAZA


  RISE DA HONEST and CHRIS EDDIE shared photo with SHINING STAR



       


show love here http://facebook.com/chriseddieb



             

                  SHINING STAR ATAKINUKISHA LEO NANE NANE.







Shining Star atakuwepo pale Nane Nane ndani ya viwanja vya Mwakangale kuanzia mida ya Jion hivi atakisanua akiwa na Dancers wake...usikose hii.



                     CHRIS EDDIE NA SHINING STAR



                             

Mwakangale ooooyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.........full mamzuksi na Show kali toka  Kwa Sining Star

Alhamisi, 7 Agosti 2014

http://bbc.in/1vg8zsB


Ebola yazua hofu nchini Nigeria.


Chama cha madaktari nchini Nigeria kimetangaza kukamilika kwa mgomo wa kitaifa ulioanza karibu mwezi mmoja uliopita kutokana na kuwepo mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.

Watu wawili wameaga dunia na wengine watano wameambukizwa maradhi hayo nchini Nigeria taifa lililo na watu zaidi barani Afrika.
Taarifa zinazohusiana
afya

Hadi sasa takriban vifo 930 vilivyotokana na ugonjwa wa ebola vimeripotiwa nchini Liberia, Sierra Leone na Guniea.

Liberia nayo imetangaza hali ya tahadhari.

Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleas amesema kuwa hatua zaidi zinahitajika ili kulioka taifa hilo.

Kasisi mhispania aliyeambukizwa ugonjwa huo akifanya kazi kwenye hospitali moja nchini Liberia amesafirishwa kwenda nchini uhispania kwa matibabu.

Madaktari wamesitisha mgomo wao ilikukabiliana na mlipuko wa Ebola.

Mkuwatano wa pili wa dharura kuhusu ugonjwa wa ebola umeingia siku ya pili kwenye makao makuu ya shirika la afya duniani WHO mjini Geneva.

Huko Nigeria juhudi zimeanza kunoga ilikukabiliana na tishio la mlipuko wa ugonjwa huo wa Ebola.

Vituo vya Radio mjini Lagos vinatoa ushauri kuhusu njia za kuwa salama ili kusaidia kuzuia kusambaa wa ugonjwa wa ebola.

Zaidi ya watu 930 wameaga dunia nchini Sierra Leone, Liberia, Guinea na Nigeria katika kile kinachotajwa kuwa mlipuko mbaya zaidi wa ugonjwa wa Ebola kuwai kushudiwa.

Wanajeshi wametumwa kwenda maeneo tofauti nchini Liberia kuzuia watu kutembea kutoka sehemu zilizoathiriwa na ugonjwa huo .

Nchini Liberia hali ya hatari imetangazwa na watu wengi walio wagonjwa wanarudi nyumbai bila kutibiwa baada ya madaktarti kukosa kufika hospitalini.

Daktari akijihami kuwatibu washukiwa wa Ebola mjini Lagos.

Nao mkutano wa pili wa dharura kuhusu ugonjwa wa ebola umeingia siku ya pili kwenye makao makuu ya shirika la afya duniani WHO mjini Geneva.





           SHUKRANI ZA DHATI KWA 96.9 Rock Fm Mbeya




  Hatuna Cha Kusema Kwa Kile Mnachotufanyia, Napenda Kutoa Shukrani Kwa Udhamini Wenu Kwetu, Thanks for DJ Nang Jet , Dj Frank , Vicent Classic Raulent Jr , Lizzy B , Queen Of Swaga and Team Rock Fm Mbeya bila kumsahau Eddy Kasoro Rasta





       Chris Eddie.......Hii ni Favourite Picture Yangu














       
       KEEP WATCHING TUFURAHI VIDEO
           

     




    http://youtu.be/ogu31Dyeg1I
                           SHINING STAR IN LOCATION
             


         


                     Shining Star akiwa Location wakishoot Movie iitwayo MILA....na sasa ipo Madukani.

                SHINING STAR KUIWASHA MOTO NANE NANE








NI KATIKA VIWANJA VYA MWAKANGALE karibuni wote.


         Like Our Facebook Page www.facebook.com/chriseddieb

  • CHRIS EDIE NA SHINING STAR FT JUNIOR





Chris Eddie akiwa na Shining Star , Junior a.k.a Igobeko nikiwa Location pindi tunashuti Wimbi wa Shining Star uitwao Upofu Wa Mapenzi
         LIKE Our Facebook Page www.facebook.com/chriseddieb


SHINING STAR WITH CHRIS EDDIE


Upofu wa Mapezi by Shining Star

follow me on www.twitter.com/cbumella